• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wanafunzi darasa la Saba waaswa kumuomba Mungu

Tarehe iliyowekwa: September 3rd, 2019

Wanafunzi wanaotarajia kumaliza elimu ya Msingi mwezi Septemba 2019 wameshauriwa kumuomba Mwenyezi Mungu kabla ya mtihani, wakati wa mtihani na baada ya mtihani ili awape afya njema na kupata matokeo mazuri.

Ushauri huo ulitolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa alipofanya ziara ya kuwatembelea wanafunzi wanaotarajia kumaliza darasa la saba na kuongea na walimu wanaowafundisha wanafunzi hao ziara iliyofanyika hivi karibuni.

“Tumekuja kuwatia moyo na kuwasihi kuendelea kumuomba Mwenyezi Mungu kila mtu kwa imani yake ili muanze salama na kumaliza salama na tunaamini wote mtafanya vizuri mitihani yenu na mtafaulu ili kutimiza ndoto zenu.”Alisema Mkurugenzi Dakawa

Aidha aliendelea kuwashauri wanafunzi hao kusoma kwa bidii kwa kipindi kilichobakia na kuendelea kuwa na nidhamu na kuepuka kudanganywa kwenda kufanya kazi za ndani mikoani wanaposubiria matokeo yao kwani kwa kufanya hivyo ndoto zao za kuwa wataalamu hazitatimia.

Hata hivyo alitumia ziara hiyo kuongea na walimu kwa kuwashauri kuendelea kuwakumbusha wanafunzi mambo ya muhimu kuzingatia wakati wa mtihani ikiwa ni pamoja na kuwaonyesha upendo na kuwajenga kisaikolojia kwa kipindi kilichobakia ili kutowavuruga katika kipindi  kilichobakia.

“Walimu mliobahatika kuchaguliwa kusimamia mitihani nawasihi sana mfanye kazi hiyo kwa kufuata taratibu na kanuni mlizoelekezwa na mkajiepushe na udanganyifu wa namna yoyote kwani kwa kufanya hivyo mtazalisha viongozi wa baadae wadanyanyifu na wasio waaminifu kwa nchi.”Alisisitiza Mkurugenzi Dakawa.

Ziara ya Mkurugenzi imefanyika kwa shule za Msingi ambazo wanajiandaa kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi unaotarajiwa kufanyika tarehe 11 na 12 Septemba, 2019 na katika Halmshauri ya Mji Kondoa jumla ya wanafunzi 1716 wanatarajia kufanya mtihani huo katika shule 29 za Msingi.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa