• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WANAFUNZI KONDOA MJI WAMPONGEZA RAIS KUTIMIZA MIAKA MIWILI

Tarehe iliyowekwa: November 5th, 2017

 Wanafunzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa wamemtumia salamu za pongezi Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt. John Pombe Magufuli kwa kutimiza miaka miwili katika uongozi wake.

Wakiongea wakati wa maadhimisho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya ukumbi wa mikutano wa Kondoa Irangi wanafunzi hao wamesema kuwa  kipindi cha miaka miwili hiyo wameona manufaa mengi ikiwemo kukaa kwenye madawati ambapo awali walikuwa wakikaa chini jambo ambalo linawafanya waendelee kusoma kwa bidii.

Akiongea kwa upande wa  taaluma mwakilishi wa wanafunzi Latifa Abbas Ally amesema kuwa pia wanafunzi kwasasa wanatumia kitabu kimoja kwa kila mwanafunzi ambapo kwasasa wanapata hata fursa ya kwenda navyo nyumbani na kujisomea.

Ameongeza kuwa idadi ya wanafunzi imeongezeka na hakuna tena michango midogomidogo ambayo ilikuwa ikiwanyima fursa wanafunzi wasio na uwezo kwenda shule  na kupelekea kuongeza idadi ya wahalifu mitaani ambapo kwa miaka miwili hiyo jambo hilo halipo tena.

Aidha akiongezea salamu hizo kwa mkuu wa Wilaya ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa  Bwana Khalifa Kondo amemwelezea kuwa kwa kipindi hicho cha miaka miwili mambo mengi yamefanyika ikiwemo kuboresha huduma za afya, elimu na kuondoa watumishi wasio na sifa ili kuwapa nafasi wasomi walio na sifa.

Hata hivyo aliongeza kuwa suala la madawa ya kulevya pia limepunguzwa kwa kiasi kikubwa katika kipindi hicho kwani vijana wengi wamejiajili kwa kuendesha pikipiki na kupelekea halmashauri ya mji kuwatengea eneo kwa ajili ya kupaki pikipiki zao na kutambulika kuwa ajira kamili ikiwa ni pamoja na kuwapa mikopo ya kujiendeleza.

Akipokea pongezi hizo kwa niaba ya Mheshimiwa Rais Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mh. Sezaria Makota amesema kuwa anawashukuru sana wanafunzi na watu waliojitokeza katika maadhimisho hayo kwani yote yaliyozungumzwa yana ukweli kwani kwa kipindi hicho madawa ya kulevya zaidi ya gunia kumi yalikamatwa na kuwashitaki wahusika wote.

“Amani imepatikana Kondoa kwani awali kulikuwa na migogoro ya wakulima na wafugaji lakini kwa kipindi hiki hakuna mauaji ya wakulima na wafugaji “.

Maadhimisho ya miaka miwili ya uongozi wa Rais Mh.Dkt. John Pombe Magufuli yamefanyika katika mji wa Kondoa ambapo watu mbalimbali walihudhuria wakiwemo kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya, wanafunzi, waendesha pikipiki na viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi ambapo ushuhuda wa mambo yaliyofanyika kwa kipindi hicho ulitolewa.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa