• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wananchi wa Unyawi wapongezwa kujitolea shughuli za maendeleo

Tarehe iliyowekwa: September 26th, 2019

Wananchi wa eneo la Unyawi katika kata ya Bolisa Halmashauri ya Mji Kondoa wamepongezwa kwa kujitolea katika shughuli za maendeleo ikiwemo kuchimba barabara na kuwezesha magari kufika eneo hilo jambo ambalo lilikuwa haliwezekani hapo awali.

Pongezi hizo zilitolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Msoleni Dakawa wakati wa mkutano na wananchi wa eneo hilo uliofanyika eneo la Unyawi hivi karibuni.

“Kwa kweli mnastahili pongezi za dhati mmetengeneza barabara wenyewe na hili limewezekana kwa kuwa mna umoja kati yenu na viongozi wenu kuanzia waheshimiwa madiwani na watendaji na naamini mtafanya makubwa zaidi na serikali ya awamu ya tano haitasita kuwaunga mkono katika juhudi zenu hizo,”alisema Mkurugenzi Dakawa.

Aliendelea kusisitiza kuwa eneo hilo lina tatizo la maji ila serikali imechimba visima maeneo ya jirani kinachosubiriwa ni kupatikana kwa fedha zitakazosaidia kusogeza miundombinu ya maji kwa ukaribu ikiwa ni pamoja na kusogeza umeme katika maeneo hayo kwani nguzo zimesogea hadi eneo la Bolisa na mradi unaendelea.

Hatahivyo aliwaahidi kumtuma Mhandisi ili kuangalia namna bora ya kuboresha barabara waliyochimba wananchi ili iweze kupitika wakati wote wa masika na kiangazi na kuwaomba kuwa na subira kwani serikali inathamini na kutambua mchango wao katika shughuli za maendeleo.

“Mwaka huu mwezi Novemba tarehe, 24 kuna uchaguzi wa Serikali za Mitaa niwaombe wananchi tujitokeze kwa wingi kujiandikisha katika eneo letu ili tuweze kupiga kura na kuchagua viongozi wa mtaa wetu wapenda maendeleo na tuepukane na kuwachagua viongozi kwa kupewa rushwa au zawadi zozote,”alisisitiza Mkurugenzi Dakawa.

Akiongea katika mkutano huo diwani wa Viti Maalum tarafa ya Kolo Mhe. Ramla Abeid aliwashukuru wananchi kwa kujitoa kwao na kuwasihi kuchangia ukarabati wa Shule ya Msingi Bolisa kwani maendeleo wanayoyafanya ni kwa ajili ya mafanikio yao wenyewe.    

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa