• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

"Watendaji Fanyieni Kazi Maagizo Mnayopewa" - Mkurugenzi Dakawa

Tarehe iliyowekwa: January 22nd, 2019

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kondoa Msoleni Dakawa amewataka watendaji wa kata na mitaa kuyafanyia kazi maagizo yanayotolewa kutoka halmashauri kwani wananchi wana imani nao katika kuwaletea maendeleo.

Aliyasema hayo wakati akifungua kikao kazi kati ya watendaji hao na wakuu wa Idara kilichofanyika katika ukumbi wa Kituo cha Uwekezaji Kondoa Mjini.

Alisema kuwa watendaji hao ndio wasimamizi na wakurugenzi katika maeneo yao ya kazi hivyo wanapaswa kuwajibika ili kuhakikisha kata na mitaa yao inakuwa na maendeleo na huduma za msingi zinapatikana.

“Mkifanya vibaya nyie halmashauri yote itaonekana imefanya vibaya sababu tunafanya kazi kama timu ila nasikitika watumishi ngazi ya wilaya wanafanya sana kazi lakini ikifika kwenu hamfanyi kazi na kutimiza majukumu yenu mjitathmini.”Alisema Dakawa

Aidha aliongeza kwa kuwataka kusimamia miradi ya maendeleo na ukusanyaji wa mapato na kuwachukulia hatua wale wote ambao miradi itatekelezwa chini ya kiwango  na wao kutochukua hatua zozote kwa kisingizio cha kutokushirikishwa kwani miradi yote ipo chini yao.

“Pia kuna watendaji hapa nimepata habari ni wababe kwa wenyeviti wao wa mitaa hadi wanaogopwa hii haipendezi mkafanye kazi kwa kushirikiana lengo liwe moja tu kuwaletea maendeleo wananchi.” Alisisitiza Dakawa

Kwa upande wake Afisa Sheria wa Halmashauri Wakili Edward Mhina aliwataka watendaji kuepuka tabia ya kuingia mikataba na watu mbalimbali bila kushirikisha ofisi ya Mkurugenzi kwani mikataba yote ambayo haijapitiwa na Mwanasheria ni batili.

“Nawakumbusha watendaji ambao walipewa mashine za kukusanyia mapato na hawakupeleka fedha benki kufanya hivyo ndani ya wiki moja hadi jumatano ijayo wote wapeleke fedha benki ambao hawatapeleka tutawafikisha mahakamani.”Alisema Mhina

Akiongea kwa niaba ya watendaji Mtendaji wa Kata ya Kingale Samson Mtui aliushukuru uongozi wa halmashauri kwa kikao kazi hicho kwakuwa kimewakumbusha majukumu yao ambayo mengi walikuwa wakiyafanya kinyume na kuahidi kwenda kufanya kazi kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni.

Kikao kazi cha uongozi wa halmashauri na watendaji wa kata na mitaa kimefanyika kwa lengo la kuwakumbusha majukumu yao na kupatiwa mada mbalimbali kutoka idara na vitengo vya sheria, Manunuzi, Fedha,Mipango, Elimu Sekondari na Utumishi.

Matangazo

  • Majina ya walioitwa kwenye usaili Kondoa Mji June 13, 2025
  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Kondoa Mji watoa mafunzo kwa vikundi 16 vya mikopo awamu ya tatu

    June 24, 2025
  • Wataalam wa Kilimo na Mifugo Kondoa Mji watembelea Nanenane Jijini Dodoma

    June 24, 2025
  • Watumishi watakiwa kuendelea kutoa elimu ya stakabadhi ghalani

    June 23, 2025
  • Baraza Maalum Kondoa Mji lapitisha Sheria ndogo kuimarisha vyanzo vya mapato

    June 20, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa