• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

"Watumishi mkawe mabalozi wa kupanda miti" - Mwalimu Mtamba

Tarehe iliyowekwa: April 1st, 2020

Wakuu wa Idara na watumishi wa Halmashauri ya Mji Kondoa wametakiwa kuwa mabalozi wa upandaji miti katika maeneo wanayoishi ili jamii ihamasike kupanda miti katika maeneo yao.

Hayo yalisemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kondoa Mwalimu Hassan Mtamba wakati wa zoezi la upandaji miti lililofanyika katika Mahakama ya Wilaya ya Kondoa ikiwa ni kuadhimisha kilele cha siku ya upandaji miti duniani.

“Katika kutimiza lengo la Kitaifa Halmashauri ya Mji Kondoa imepanda miti 30 katika viunga vya Mahakama ya wilaya leo lakini katika shule zetu tumepanda miti laki moja na kandokando ya barabara kuanzia eneo la Magereza hadi Bicha tumepanda miti mia tatu na bado zoezi ni endelevu hadi tufikie lengo la kupanda miti milioni moja na laki tano,”alisema Mwalimu Mtamba

Aidha aliwashukuru watumishi wote waliojitokeza katika zoezi hilo na kuwasihi kuendelea kuwa wazalendo kwa kupanda miti pia katika maeneo mbalimbali yaliyotengwa kwa ajili ya upandaji mit ikatika Halmashauri ya Mji kwaajili ya vizazi vya sasa na baadae.

“Tumeshapanda miti lakini nawasihi wote tuendelee kutekeleza majukumu yetu na kulijenga taifa bila kusahau kuchukua tahadhali ya kujilinda na ugonjwa wa Corona,”alisisitiza Mwalimu Mtamba.

Kwa upande wake Afisa Tawala wa Mahakama ya Wilaya ya Kondoa Bi Edna Edward alitoa shukrani zake za dhati kwa watumishi wa Halmshauri ya Mji Kondoa kwa kufanikisha upandaji wa miti katika Mahakama hiyo na kuwahakikishia kuwa wataitunza  kwa hali na mali.

Kila tarehe mosi ya mwezi Aprili ya kila mwaka dunia huadhimisha siku ya upandaji miti ambapo Halmashauri ya Mji Kondoa imeadhimisha kwa kupanda miti katika Mahakama ya Wilaya ya Kondoa na kupanda miti 30 na kuifanya halmashauri kupanda miti zaidi ya laki tano.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa