• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Watumishi wa makao makuu Kondoa Mji wajengewa uwezo mifumo ya kiutumishi

Tarehe iliyowekwa: May 23rd, 2024

Zaidi ya watumishi 100 kutoka makao makuu, Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu na Watendaji wa Kata na Mitaa wamejengewa uwezo wa mifumo mbalimbali ya kiutumishi na kushauriwa kubadili mtazamo kwa kukubaliana na matumizi ya kidigitali katika shughuli za kiserikali.

Hayo yamesemwa na Afisa Utumishi Ndg. Tecla Gasembe wakati akiongea na watumishi hao wakati wa mafunzo ya siku moja ya mfumo wa likizo, uhamisho na ufuatiliaji wa mfumo wa PEPMIS yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Mji Kondoa.

“Tumeamua kubadilika kwasasa mambo mengi yatafanyika kwenye mifumo nawaomba tukubaline na mabadiliko hayokwani kwa vyovyote iwavyo lazima wote twende huko kwenye matumizi ya mifumo na sisi hatutawaacha tutatoa msaada kila wakati ili kuhakikisha jambo hili linafanikiwa bila vikwazo,”amesema Ndg. Tecla

Aidha amewasihi watumishi kutumia mfumo wa PEPMIS kwa kujaza kazi zao wanazofanya kila siku ili kupima utendaji wao kwa kuwa pia ni takwa la kisheria na limekuja badala ya Opras zilizokuwa zikijazwa awali.

“Sheria ya Utumishi wa umma sura ya 298 na kanuni zake limeelezea kwa uzuri jambo hili kama hamuijui mkiingia katika tovuti ya utumishi mtaipata lakini pia katika ofisi yenu ya Utumishi mtaipata hivyo tusilipuuze na lina athari kwetu kama watumishi na viongozi wetu lisipotekelezwa kwa umakini”amesisitiza Ndg. Tecla

Aidha watumishi walipitishwa katika mfumo wa Likizo, uhamisho na mkopo na Afisa Utumishi kutoka OR Utumishi Ndg. Catherine Massawe ambapo alisisitiza watumishi kutumia mifumo hiyo kwasasa kwa kuwa kila kitu kinafanyika huko.

Mafunzo hayo yamefanyika ikiwa ni mwendelezo wa serikali kuhamishia shughuli za kiutumishi katika mifumo jambo ambalo linaongeza uwazi na uwajibikaji kwa watumishi wa serikali na kuokoa muda ambao watumishi walikuwa wakiutumia kufuatilia mambo hayo na kauli mbiu inasema “Tuujenge Utumishi wa Umma wa Kidigitali”  

Matangazo

  • Majina ya walioitwa kwenye usaili Kondoa Mji June 13, 2025
  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Kondoa Mji watoa mafunzo kwa vikundi 16 vya mikopo awamu ya tatu

    June 24, 2025
  • Wataalam wa Kilimo na Mifugo Kondoa Mji watembelea Nanenane Jijini Dodoma

    June 24, 2025
  • Watumishi watakiwa kuendelea kutoa elimu ya stakabadhi ghalani

    June 23, 2025
  • Baraza Maalum Kondoa Mji lapitisha Sheria ndogo kuimarisha vyanzo vya mapato

    June 20, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa