• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wawezeshaji wa vikundi vya TASAF watakiwa kufundisha walengwa kwa tija

Tarehe iliyowekwa: April 22nd, 2024

Wawezeshaji wa vikundi vya kukopeshana na kukopa kwa walengwa wa TASAF kutoka Halmashauri ya Mji Kondoa na Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa wametakiwa kwenda kufundisha walichojifunza kwa vikundi hivyo ili viwe na tija.

Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi ya Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Hassan Kiseto wakati akiongea na wawezeshaji hao katika mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kondoa Irangi hivi karibuni.

“Cha msingi tu ni sisi wawezeshaji wa mpango huu ambao tunawapelekea wenzetu kule tubebe hii kam agenda ya msingi na tukifika kwenye maeneo ya walengwa tufikishe ujumbe mlioupata hapa na si kupata mafunzo na kwenda kukaa nayo au ukafanye kwasababu upo kwenye mpango,”amesema Kiseto

Ameongeza kuwa lipo tatizo la watu kufanya kazi kwa mazoea kwa kutofikisha alichotumwa kwa walengwa kama alivyopewa yeye ikiwa ni pamoja na kutofuatilia alichofundisha iwapo kinafanyiwa kazi tatizo ambalo lipo sehemu kubwa katika jamii ambapo wengi hufanya jambo sababu tu wametumwa kufanya.

“Nitoe wito kwetu sote kwamba ujisikie fahari kwamba nilifanikisha ujumbe niliotumwa kwenda kwa wananchi lakini pia matokeo ya ule ujumbe nauona mimi binafsi au hata mtu akienda kwenye vikundi alivyofundisha matokeo yanaonekana”amesisitiza Kiseto

Akiongea kwa upande wake Ndg. Anzanukye Mselela kutoka TASAF makao makuu amesema vikundi vilivyopo katika Halmashauri za wilaya ya Kondoa zinakwenda kufikiwa kwa asilimia 100 ambapo vikundi vyote yaani vilivyokuwepo kwenye mpango awali na vipya vitakavyoundwa vitapata mafunzo tofauti na wilaya zingine.

“Tutakwenda kuvihuisha vikundi vya awali yawezekana kuna vikundi tayari lakini tutakwenda kuhuisha kama kuna mtu ndani ya kikundi ambaye umri wake umesogea kidogo huyo tutamuacha ili tuwe na vikundi hai na mtu akija Kondoa tukisema kuna vikundi 50 tujue kweli vinazalisha.

Zaidi ya wawezeshaji  40 kutoka Halmashauri ya Mji Kondoa na Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa wamepewa mafunzo na TASAF kwaajili ya kwenda kuvijengea uwezo vikundi vya kukopeshana na uzalishaji mali vya walengwa wa TASAF ili waweze kujikwamua kiuchumi.

 

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa