• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wazazi Kolo Sekondari wakubaliana kutoa chakula shuleni

Tarehe iliyowekwa: March 10th, 2021

Wazazi wa wanafunzi wa kidato cha pili na nne katika Shule ya sekondari Kolo wamekubaliana na kauli moja kutoa chakula shuleni kwa kuanza na wanafunzi wenye mitihani ya kitaifa ifikapo Aprili mosi mwaka huu.

Makubaliano hayo yamefikiwa katika kikao cha pamoja cha wazazi hao, Mhe diwani, Afisa Elimu na uongozi wa shule kilichofanyika shuleni hapo hivi karibuni.

Akiongea katika kikao hicho diwani wa kata ya Kolo Mhe. Juma Ng'ungu amewasihi wazazi hao kuunga mkono agizo hilo ili kuongeza ufaulu kwa wanafunzi hao kwa kuwa bado shule hiyo haifanyi vizuri katika mitihani ya kitaifa.

"Matokeo ya mkoa wa Dodoma huwezi kufananisha na mikoa ya Mbeya, Kagera na Kilimanjaro tupo nyuma yao sana na tunahitaji kujikwamua na inawezekana tukijipanga kwa kuweka mikakati ya kuongeza ufaulu kinyume na hapo tutaendelea kuwa watumwa",amesema Mhe. Juma.

Hata hivyo aliongeza kuwa agizo hilo kwasasa wanaanza kwa kuwapa chakula wanafunzi wa kidato cha pili na nne lakini baadae liwe azimio kwa wanafunzi wote kupata chakula ili kuleta usawa kwa wanafunzi wa shule ya Kolo.

Akiongea kwa upande wake Afisa Elimu Sekondari Mwalimu Annete Nara amewashukuru wazazi hao kwa kukubaliana na kusema kuwa ana imani waliyokubaliana yanakwenda kutekelezeka kwa kuwa wanafunzi ni watoto wa jamii hivyo wanapaswa kutendewa haki.

"Shule ya Kolo katika mtihani wa kujipima kimkoa mwaka jana ilikuwa katika shule 5 za mwisho lakini tuliweka mikakati ya pamoja ambayo ndiyo imesaidia hata tukapata matokeo hayo bila kifanya hivyo hali ingekuwa mbaya zaidi,"amesisitiza Mwalimu Nara

Kwa upande wake mmoja wa wazazi amesema kuwa wazazi hawakatai kutoa chakula ila kwa kuwa hali ni ngumu kwa wakati huu ila watajitahidi kuhakikisha wanafunzi wote wanapata chakula shuleni hapo ili watoto wao waongeze ufaulu.

Kikao cha wazazi na viongozi wa kata na halmashauri kimefanyika baada ya kutokea sintofahamu katika vikao vya awali ambavyo wazazi waligomea kuchangia chakula kwa wanafunzi ikiwa ni agizo la mkoa kuhakikisha kuwa wanafunzi wote wanapata chakula shuleni ifikapo Machi 1,2021.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa