• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wazazi, Walimu na Wanafunzi Watakiwa Kushirikiana

Tarehe iliyowekwa: March 10th, 2019

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Kaunga Amani amewataka wazazi, walimu na wanafunzi wa Kondoa Mji kutimiza wajibu wao kila mmoja ili kuhakikisha kiwango cha ufaulu kinapanda katika shule za sekondari na kutimiza ndoto za wanafunzi  hapo baadae

Aliyasema hayo alipokuwa akiongeza katika kikao cha walimu, wanafunzi na wazazi kilichoombwa na wananchi wa Kondoa waishio ndani na nje ya Kondoa waliokuja kwa ajili ya kujadili changamoto za kielimu katika shule za sekondari za Bicha na Kolo.

“Wenzetu hawa wamekuja kuhamasisha suala zima la elimu na nimefurahi sababu walisema tuchague shule zenye changamoto za kielimu kwa kuanzia Halmashauri ya Mji ilikuwa ya tatu kimkoa matokeo ya kidato cha nne 2018 na ya 104 kitaifa hata hivyo Bicha Sekondari iliturudisha nyuma na kuwa ya mwisho kiwilaya.” Alisema Kaunga

Aidha aliongeza kuwa uwepo wa wazazi ni muhimu kwa kuwa watapokea moja kwa moja kile ambacho kitatolewa kwa kuwa wengi waliokuja katika jopo hili ni walimu hivyo itakuwa vyema kuwasikiliza na kuyachukua yale watakayoyasema na kwenda kuyafanyia kazi ili baada ya miaka kadhaa Kondoa iwe imevushwa kwa kiwango kikubwa kikubwa.

“Wazazi, walimu na wanafunzi kila mtu akiwajibika kwa nafasi yake hakuna linaloshindikana na hapo ndipo tunaposema utatu umekamilika kwani kila mtu akijipanga hakuna linaloshindika kwani mwanafunzi kazi yake kusoma, mwalimu kufundisha na mzazi kuhakikisha mwanafunzi anapata mahitaji muhimu.”Alisisitiza Kaunga

Akiongea kwa upande wake Mwenyekiti wa umoja huo wa wanakondoa Mwalimu Mukhsin alisema kuwa wanafunzi wa Kondoa wanaweza kufanya vizuri kwani hawana tofauti na wanafunzi wengine ndani ya mkoa na mazingira hayatofautiani ila kikubwa ni kuhakikisha kuwa kila mtu anatimiza wajibu wake.

“Tunapokuwa na matokeo mabaya huwa tunalaumiana ila si wakati wa kulaumiana ila tuyapokee matokeo hayo na baada ya kuyapokea tuangalie nini cha kufanya ili kusogea mbele kwa kufuta makosa ya nyuma ni imani yangu sehemu nne zikishirikiana tutasonga mbele ikiwemo serikali, wazazi, walimu na wanafuzi wenyewe wakiamua kusema matokeo mabaya basi inawezekana.” Alisema Mwalimu Mukhsin.

Umoja wa wanakondoa hao ni wazaliwa wa Kondoa ambao wanaishi ndani na nje ya Kondoa na wanafanya uhamasishaji wa masuala mbalimbali katika wilaya za Kondoa na Chemba ambapo kwasasa walikuja kusisitiza kuhusu masuala ya elimu na afya ikiwa ni pamoja na kutoa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika mitihani ya taifa kwa mwaka 2018.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa