• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wazazi wanaochangia utoro waonywa

Tarehe iliyowekwa: October 17th, 2021

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kondoa Mhe.Mohamed Kiberenge amewaonya wazazi wanaowakatisha masomo watoto wao kwa ajili ya kufanya shughuli zao binafsi na kuendekeza utoro rejareja.

Kauli hiyo ameitoa wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua Maendeleo mradi wa ujenzi wa madarasa katika Shule ya Msingi Tunguf Kata ya Suruke hivi karibuni.

"Kuna baadhi ya watoto nimegundua hawafiki shule na wazazi wao hawachukuliwi hatua yeyote na nimemuuliza mwalimu  ameniambia amepeleka majina ya watoto watoro na  barua ya malalamiko katika Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa hivyo muitishe baraza la kata ili hatua stahiki zichukuliwe dhidi ya wazazi na lifanyiwe kazi haraka,"amesema Mhe. Kiberenge.

Halikadhalika ameendelea kwa kusema kuwa kuna watoto wanaenda shuleni kwa hiyari na wengine wanaweza waje leo na kesho wasije wanabaki nyumbani wakichunga mifugo na kukata kuni ambapo jambo hilo ni la hatari sana na kuuagiza uongozi wa mtaa kuwachukulia wazazi wa wanafunzi watoro hatua kali za kisheria.

"Mzazi ambae hajatoa taarifa ya mtoto wake kwa siku mbili au tatu kuelezea kwa nini mtoto hafiki shule ni lazima mchukue hatua na msije  mkalichukulia kirahisi suala hili maana wanafunzi wanaoachwa wanakwenda kuwaharibu wanafunzi ambao wanakwenda shuleni," amesisitiza Mhe Kiberenge.

Hatahivyo Mhe. Kiberenge amesema kuwa ni lazima kuwe na muunganiko baina ya wazazi na waalimu kwa kutoa taarifa juu ya Maendeleo ya watoto shuleni ambapo aliagiza Maafisa Elimu kata kulisimamia jambo hilo kwani hakuna mjadala katika jambo la kukomesha utoro.

Mhe.kiberenge ametembelea mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika Shule ya Msingi Tungufu kwa lengo la kuhamasisha wananchi kuchangia maendeleo na katika kuwaunga mkono amechangia shilingi elfu hamsini pamoja na wataalam wengine alioongozana nao.






Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa