• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wazee na Wasioona Kingale Wawezeshwa

Tarehe iliyowekwa: December 14th, 2018

Wazee na wasioona kata ya Kingale halmashauri ya Mji Kondoa wamewezeshwa kwa kupewa vitambulisho 1070 vya matibabu  bila malipo na fimbo 10 za kuwaongoza wasioona lengo likiwa ni kuboresha huduma za afya kwa watu hao wenye mahitaji maalum.

Akikabidhi vitambulisho hivyo na fimbo mkuu wa wilaya ya Kondoa Mhe. Sezaria Makota alisema kuwa serikali imeamua kugawa vitu hivyo kwa watu hao wenye mahitaji maalum ikiwa ni utekelezaji wa sera ya afya ambayo inamtaka kila mzee wa kuanzia miaka 60 anapatiwa kitambulisho ambacho kitamsaidia kupata huduma za matibabu bila malipo kwa nchi nzima.

“Jumla ya vitambulisho 1070 vitatolewa leo ambapo kata hii ndio kata yenye vitambulisho vingi katika kata zote za Halmshauri ya Mji wa Kondoa na namshukuru sana Mheshimiwa diwani ambaye amekuwa akihamasisha sana wananchi wake katika masuala ya maendeleo.”Alisisitiza Mhe. Makota

Aidha kwa upande wake diwani wa Kata ya Kingale Mhe. Abushehe Mbuva alisema kuwa wananchi wa kata yake wanafuraha kupata vitambulisho hivyo na mambo mengine mazuri yanayoendelea kwenda katika kata ya Kingale.

“Tumeandaa shughuli hii katika eneo hili kwa lengo maalum kabisa kwani ukiangalia tumezungukwa na majengo ya kituo cha Afya Kingale upatikanaji wa vitambulisho utasaidia sana wazee kupata huduma hapahapa na kuwaondolea adha ya kusafiri kwenda kufuata huduma ya afya kwa kweli tunaishukuru sana serikali”. Aliongeza Mhe. Mbuva

Zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya Afya limefanyika katika kata ya Kingale ambapo Halmashauri imedhamiria kutoa vitambulisho vya Afya kwa wazee zaidi ya 5000 wa kata zote 8 na Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe. Sezaria Makota alitoa fimbo 10 kwa ajili ya kuwasaidia wasiiona.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa