• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wizara ya Afya Yawapongeza Head Inc

Tarehe iliyowekwa: September 18th, 2018

Wizara ya Afya imelipongeza shirika la Head Inc lenye Diaspora wa Kondoa kutoka nchini Marekani kwa kuunga mkono jitihada zinazofanywa na serikali ya awamu ya tano katika masuala ya afya.

Pongezi hizo zimetolewa na Dkt. Dorothy Gwajima kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya wakati wa ufunguzi wa zoezi la kutoa huduma za afya kwa wananchi wa Kondoa zitakazotolewa na madaktari bingwa kutoka shirika hilo.

“Serikali ya awamu ya tano imeendelea kuboresha huduma za afya kila siku na wenzetu hawa diaspora wameliona hilo na wakaona ni vema kuunga mkono jitihada hizo kwa kuja kutoa huduma hii nyumbani tunawashukuru sana na naamini mnaweza kusaidia katika maeneo mengine kwa kutoa elimu kwa wataalam wetu wa afya.”Alisema Dkt. Gwajima

Aliongeza kuwa kuna michakato mingi hadi walipofika Kondoa hasa maeneo ya bandarini na katika taasis zingine za serikali ili kuingiza vifaa vyenu lakini hilo linafanyika katika kuhakikisha kuwa dawa vitu vingine vinakuwa katika ubora na viwango vinavyotakiwa nchini na kuahidi kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje ili kuanzisha dawati litakalokuwa linashughulikia masuala ya diaspora na kupunguza michakato hiyo.

“Nashauri uongozi wa Hospitali ya Halmashauri ya Mji kutengeneza mpango mkakati wa kuboresha huduma za afya na kuwapatia wenzetu hawa ili wakifika huko Marekani wanaweza kuona jinsi ya kutusaidia ikiwemo kuboresha huduma za wagonjwa mahututi.”Alishauri Dkt. Gwajima

Akiongea katika ufunguzi huo Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe. Sezaria Makota aliwashukuru wadau hao kwa msaada walioutoa na kuwasihi wananchi kutumia fursa hiyo kwa kuwataarifu wengine na kujitokeza kwa wingi kwani zoezi hilo ni kama lililofanyika mwaka jana na litawasaidia wananchi kuondokana na maradhi.

Hata hivyo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Msoleni Dakawa akitoa salamu za shukrani alisema kuwa ujio wa diaspora hao umetokana na kuunga mkono juhudi za Rais Dkt. John Magufuli katika upande wa afya ambapo pia ametoa kiasi cha shilingi milioni 400 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya Kingale.

Ujio wa Diaspora katika Halmashauri ya Mji Kondoa umewezeshwa na shirika la Head Inc kutoka nchini Marekani ambapo watatoa huduma ya afya katika Hospitali ya Mji Kondoa kwa muda wa siku nne kwa magonjwa ya kinywa na meno,magonjwa ya kinamama,magonjwa ya watoto na magonjwa ya macho.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa