• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Ustawi wa Jamii
    • Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

YAFAHAMU MADHARA YA UGONJWA POLIO

Tarehe iliyowekwa: September 2nd, 2022

UFAHAMU UGONJWA WA POLIO NA MADHARA YAKE.

Polio ni Ugonjwa unaosababishwa na kirusi cha Polio, ambacho huenezwa kwa kula chakula na kunywa maji yaliyochafuliwa na kinyesi cha mtu mwenye maambukizi ya ugonjwa huo.

Ugonjwa huu unaweza kumpata mtu kwa kutozingatia kanuni za usafi na endapo mtoto mmoja atapata maambukizi, watoto wote watakuwa kwenye  hatari ya kuambikizwa ugonjwa wa Polio.

Ugonjwa wa Polio hushambulia mishipa ya fahamu, na kusababisha kupooza kwa misuli hasa miguu, mikono au yote  kwa pamoja na kwa wakati mwingine misuli ya kifua inayosaidia kupumua na kusababisha kifo.

Dalili za ugonjwa wa Polio ni pamoja na mgonjwa kuwa na homa kali, mafua, maumivu ya mwili, maumivu ya kichwa na shingo, ulemavu wa ghafla wa viungo.

Ifahamike kuwa, watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano, wapo kwenye hatari kubwa ya kuambukizwa ugonjwa wa Polio, ingawa unaweza kuwapata watu wa rika zote.

Ugonjwa wa Polio unaweza kuzuiwa kwa kupata chanjo ya kukinga ya Polio pamoja na kuzingatia usafi wa mikono, usafi wa mazingira ikiwemo matumizi sahihi ya choo bora.

Nchini Tanzania chanjo dhidi ya ugonjwa wa Polio hutolewa mara 4 kwa mtoto kwa nyakati zifuatazo, mara tuu mtoto anapozaliwa, afikishapo wiki 6, 10 na 14 na wakati wa kampeni maalum zitakapohitajika.

Ni muhimu mtoto kupata chanjo wakati wa Kampeni za chanjo za Kitaifa hata kama amekamilisha ratiba ya chanjo kwa utaratibu wa kliniki.

***Mpeleke mtoto wako kwenye kituo cha afya kilicho karibu nawe, Hakikisha mtoto wako amepata chanjo

01- 04.09.2022***

Mpe Matone...., Okoa Maisha

Source: Wizara ya Afya.

https://www.instagram.com/p/Ch_MkOwqZ4X/?igshid=MDJmNzVkMjY=

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili September 17, 2023
  • Tangazo la uuzaji wa viwanja Bicha September 02, 2023
  • Matokeo ya kidato cha sita Shule ya Wasichana Kondoa 2023 July 13, 2023
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili nafasi ya Katibu Muhtasi na Madereva Halmashauri ya Mji Kondoa February 24, 2023
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • "Mkiamua hisabati si ngumu"- DC Mkanachi

    September 27, 2023
  • Shule Bora kuwanoa viongozi na walimu wa hisabati Halmashauri ya Wilaya Kondoa

    September 25, 2023
  • "Tumshukuru Mhe. Rais kwa kuwapeleka watoto shule"- RC Senyamule

    September 15, 2023
  • Kondoa Mji yaanza kutoa huduma ya upimaji udongo kwa wakulima

    September 14, 2023
  • Tazama Vyote

Video

Fursa za uwekezaji Kondoa Mji
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa