• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

"Zingatieni weledi katika kufanya kazi"- Mhe. Ndejembi

Tarehe iliyowekwa: June 10th, 2021

Leah Joseph 

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora Mh.  Deo Ndejembi amewataka watumishi wa Umma kufanya kazi kwa weledi huku wakifuata sheria na kanuni za utumishi wa umma.  

Hayo ameyasema wakati wa kikao na watumishi wa Wilaya ya Kondoa wakati akiongea  kilichofanyika katika ukumbi wa Kondoa Irangi hivi karibuni

"Utumishi wa umma ni kioo cha jamii hivyo watumishi wote mnatakiwa kufanya kazi kwa kufuata sheria,  kanuni na miongozo mbalimbali na ifike mahali watumishi muache kufanya kazi kwa mazoea na kusahau wajibu wenu, "amesema Mhe. Ndejembi

Hali kadhalika ameendelea kwa kuwataka watumishi wote kuondoa tofauti zao na migogoro mahala pa kazi badala yake wafanye kazi kwa bidii na ufanisi katika kuwatumikia wananchi .

"Nitoe rai kwa Maafisa Utumishi nchi nzima kurudi nyuma na kujitafakari waache kujifanya miungu watu badala yake wawatumikie watumishi kwa busara na wahakikishe kuwa kila mtumishi anayestahili kupanda daraja anapanda na atakayefanya kinyume atawajibishwa, "amesisitiza Mhe. Ndejembi

Hata hivyo ameongeza kuwa Serikali inatambua changamoto ya upungufu wa watumishi na kwamba wanajitahidi kuongeza ajira katika kada mbalimbali na kwamba Wilaya ya Kondoa haitasahaulika pindi serikali itapoajili watumishi.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe. Sezaria Makota  amewataka watumishi wote kuwajibika na kuweka mipango kazi na kuitekeleza kwa wakati uliopangwa na si vinginevyo.

Naye Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Kondoa Msoleni Dakawa  amempongeza Mhe. Ndejembi kwa kuona umuhimu wa kuja Kondoa na kumuelezea changamoto zinazoikumba Halmashauri ya Mji ikiwemo ya upungufu wa watumishi katika sekta ya afya na elimu pamoja na kuchelewa kwa malimbikizo ya mishahara kwa watumishi.

Ziara ya Mhe. Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora imefanyika kwa kukaa kikao cha pamoja na  watumishi na kilihudhuliwa na Mkuu wa Wilaya Kondoa,Katibu Tawala, Kamati ya Ulinzi na Usalama, Maafisa Tarafa Wakuu wa Idara na Vitengo,Watumishi wa Halmashauri ya Mji Kondoa na Wilaya.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa