• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mkurugenzi Majaliwa awataka Watendaji wa Kata na Mitaa kuwajibika

Tarehe iliyowekwa: February 19th, 2025

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Said Majaliwa amewataka Watendaji wa Kata na Mitaa wasio wajibika katika maeneo yao kuwajibika na kufanya kazi kwa kushirikiana ili kuisaidia Halmashauri kufikia malengo.

Ameyasema hayo wakati wa kikao kazi na Watendaji hao kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Mji Kondo ana kuhudhuriwa na Watendaji wa kata zote 8 na Mitaa 36 hivi karibuni.

“Leo nimewaita ili tukumbushane baadhi ya vitu naona kama hatufanyi vizuri ikiwemo katika ukusanyaji wa mapato ikiwa nilipofika tu niliwaita nikawaambia kila mtu awe na rejesta ya wafanyabiashara katika eneo lake na kuangalia tarehe ya kulipia leseni lakini hamjafanya hivyo ikianza kuchukua hatua tusilaumiane”amesema Mkurugenzi Majaliwa

Aidha amewataka kuacha tabia ya kukaa na wanafunzi wa vitendo ofisini mwao badala yake wawafundishe kazi mbalimbali katika mitaa yao ikiwemo ukusanyaji wa mapato ili walete tija na kuwapongeza Watendaji wanaowafundisha kazi wanafunzi hao.

Ameendelea kuwataka Watendaji hao kutotoka vituoni bila ruhusa itakayopitishwa na Mkuu wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu kwa upande wa Watendaji wa Mita na ruhusa itakayopitishwa na Mkurugenzi kwa Watendaji wa Kata kwani kutokuwepo kituoni kwa siku 5 mfululizo kunaweza kusababisha kufukuzwa kazi.

Ameongeza kwa kuwataka kusimamia miradi inayoendelea na kupelekewa fedha za mapato ya ndani na Serikali Kuu katika maeneo yao ikiwa ni pamoja na kujua kila kitu kinachoendelea katika miradi hiyo na kumweleza changamoto zinazojitokeza mapema ili zitatuliwe kwa wakati na kuwa na uwelewa wa pamoja.

“Nitaanza kutoa tuzo za kila mwezi kuanzia mwezi Februari kwa Mtendaji atakayefanya vizuri ambapo itafanyika tathmini kwa kutumia vigezo vya usimamizi wa miradi, usimamizi wa usafi na ukusanyaji wa mapato hii ikawe motisha kwetu katika kufanya kazi kwa bidi”amesisitiza Mkurugenzi Majaliwa.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa