• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Walemavu kunufaika na mikopo ya asilimia 10 Kondoa Mji

Tarehe iliyowekwa: October 1st, 2024

Katika juhudi za kupunguza umasikini na kuinua kipato cha wananchi hususani watu wenye ulemavu Halmashauri ya Mji Kondoa imetoa semina maalumu kwa watu hao kuhusu vigezo na namna ya ukopaji wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri mikopo ambayo ilisitishwa mwezi Aprili 2023.

Mkuu wa Divisheni ya Maendeleo ya jamii Halmashauri ya Kondoa Mji Ndg. Irene Mosha ameeleza kuwa sababu  iliyosababisha mikopo ya asilimia 10 kusimama kwa muda ilikuwa ni kufanya maboresho ya kanuni za utoaji mikopo ili mikopo inayotolewa iwe na tija.

"Maboesho yamefanyika katika umri ambapo kwa sasa  kijana kuanzia miaka 18-45 atapata mkopo wakati hapo awali umri wa kijana ulikuwa ni kuanzia miaka 18 hadi 35 hivyo marekebisho hayo yameongeza wigo kwa vijana wengi kupata mikopo hiyo.

Bi Irene ameeleza kuwa  kigezo cha mtu kupata mkopo huo ni kuwa na namba ya NIDA kwani uwepo wa namba hiyo utarahisha upatikanaji wa taarifa muhimu za mkopaji katika mfumo.

Ameendelea kueleza kuwa ili kuongeza ufanisi zaidi wa mikopo Idara ya Maendeleo ya Jamii utafanya ukaguzi wa andiko la biashara husika, soko pamoja na kuangalia uhalisia wa biashara kabla ya kutoa mikopo kwa wakopaji kwani hii itasaidia kupunguza hasara kwa wanufaika wa mikopo hiyo.

Bi Irene amesisitiza wakopaji wote wa mikopo ya asilimia 10 kuhakikisha wanarejesha pindi muda unapofika ili kuweza kutoa nafasi ya watu wengine kukopa.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kondoa Mji Ndugu Said Majaliwa ameiambia Idara ya Maendeleo ya jamii kuharakisha utoaji wa mikopo hiyo kwa wanufaika kwa kuwa fedha zilitengwa kwaajiri yao hivyo hakuna haja ya zoezi hilo kuchelewa.

Mikopo ya asilimia 10 hutolewa Kila mwaka kwa watu wenye ulemavu, vijana pamoja na wanawake ili kuwasaidia kujiinua kiuchumi.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa