• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

CAMFED wahakikishiwa kufikia malengo Kondoa Mji

Tarehe iliyowekwa: May 24th, 2024

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Said Majaliwa amewahakikisha wawezeshaji kutoka shirika la CAMFED kuwa malengo waliyojiwekea katika utekelezaji wa mradi wao Kondoa Mji utafanikiwa kwa asilimia mia moja.

Ameyasema hayo wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa Elimu Kata na Wakuu wa Shule yanayofanyika katika kituo cha Walimu (TRC) Iboni.

“Tuna bahati sana watu wa Kondoa Mji katika mikoa na Halmashauri chache kupata program hiyo ni bahati na kwetu ni mafanikio kwani CAMFED wangeweza kusema wanaenda kufanya uhamasishaji kwa vijana bila kutumia walimu lakini wakasema lazima watumie Maafisa Elimu Kata na Wakuu wa Shule ili kufikia malengo,”amesema Mkurugenzi Majaliwa

Aidha amesema kuwa ana imani na walimu wake walioitwa kwa ajili ya kupatiwa mafunzo na kuwashauri walimu hao kwenda kuwa mabalozi wazuri baada ya mafunzo ya uelewa wa mradi watakayopewa.

“Kuna kazi mtapewa kwenda kutekeleza kwenye maeneo yenu msiposikiliza vizuri matakwenda kuchahua kundi ambalo siyo zuri na siku zoto kundi zuri linalochaguliwa ndilo linalokupa matokeo mazuri naomba sana tuwasikilize wawezeshaji wetu,”amesisitiza Mkurugenzi Majaliwa

Ameongeza kwa kusema kuwa anaamini mafunzo hayo ni shirikishi kwa kuwa siku hizi ndiyo njia ndio njia inayotumiwa ili kupata matokeo mazuri kwa kuwa pande zote mbili zinashiriki kwa kutoa mawazo yenye kuboresha.

Shirika la CAMFED linatarajia kuanza kufanya kazi ya ufadhili kwa watoto wa kike wanaotokea katika mazingira magumu kwa kuwagharamia ili kufikia malengo yao kuanzia sekondari hadi chuo ambapo wameanza kwa kuwajengea uwezo wa Maafisa Elimu Kata na Walimu Wakuu ili waelewe namna mradi utakavyofanya kazi.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa