• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC Nyangasa atatua kero za wananchi kata ya Serya

Tarehe iliyowekwa: August 15th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe.Fatma Nyangasa amekutana na wananchi wa Kata ya Serya na kutatua kero mbalimbali mara baada ya kumaliza ziara yake ya kutembelea miradi  iliyopo katika Kata hiyo.

Wananchi wa Kata ya Serya wameeleza kero zao ikiwemo changamoto ya daraja katika mto Bubu, ukosefu wa umeme katika kituo cha afya Serya, ukosefu wa eneo la malisho ya mifugo pamoja na changamoto ya maji.

Nyangasa amewashukuru wananchi wa Serya kwa kuwasilisha Kero zao na kuahidi kuzifanyia kazi ikiwemo kuwasilisha na kufanya ufuatiliaji kwa mamlaka husika.

"Ndugu zangu nimeyasikia yote, suala la Mtoto Bubu nimeshaliwasilisha kwa mamlaka husika TANROAD ambao ndio wanahusika na madaraja na ninaendelea kulifuatilia" Nyangasa

Kuhusu suala la mipaka pamoja na changamoto ya Wanyamapori kuvamia maeneo ya wananchi Mhe.Nyangasa ameeleza kuwa atakaa na wataalamu wa maeneo hayo Ili kuona namna bora ya kutatua changamoto hizo.

Kabla ya kuanza kutatua Kero za wananchi wa Serya Nyangasa ametembelea mradi wa ujenzi wa Zahanati ya Chandimo ambayo mpaka Sasa imekamilika kwa zaidi ya asilimia 90,  pamoja na mradi wa shule ya Msingi Hurumbi katika mtaa wa Chandimo.

Mkuu huyo wa Wilaya ameambatana na wataalamu mbalimbali pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg.Said Majaliwa pamoja na Katibu Tawala Wilaya ya Kondoa Mhe.Christina Kalekezi.

Nyangasa pia amewasihi wananchi kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura itakapofika oktoba 29 mwaka huu Ili waweze kuwachagua viongozi wao akiwemo Rais, Mbunge pamoja na Diwani.


Matangazo

  • Matokeo ya Kidato cha Sita Kondoa Girls 2025 July 07, 2025
  • Tangazo la kazi za muda June 28, 2025
  • Majina ya walioitwa kwenye usaili Kondoa Mji June 13, 2025
  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • RC Senyamule ahitimisha wiki ya Elimu ya Watu Wazima

    August 18, 2025
  • Mkurugenzi Majaliwa atembelea timu ya Kondoa Mji na kukabidhi vifaa vya michezo Tanga

    August 16, 2025
  • DC Nyangasa atatua kero za wananchi kata ya Serya

    August 15, 2025
  • Kondoa Mji wafungua juma la Elimu ya Watu Wazima

    August 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa