• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kondoa Mji wafungua juma la Elimu ya Watu Wazima

Tarehe iliyowekwa: August 13th, 2025

Halmashauri ya Mji Kondoa  wamefungua juma la elimu kwaajili ya kuonesha shughuli mbalimbali zinazofanywa na vikundi mbalimbali kupitia kitengo Cha elimu ya watu wazima na Elimu nje ya mfumo rasmi.

Lengo la maadhimisho hayo ni kujenga uelewa wa dhana ya Elimu ya watu wazima na Elimu nje ya mfumo rasmi kwa kupima na kutafakari mafanikio na changamoto zilizopo katika utoaji wa elimu ya watu wazima yenye azma ya kufuta ujinga, umasikini pamoja na maradhi.

Kwa mwaka 2024/2025 Halmashauri ya Mji Kondoa imeandikisha Wanafunzi 105 wa MEMKWA katika vituo 11 huku kati Yao wavulana ni 49 na wasichana ni 56. Moja wapo ya Vituo vilivyoandikisha wanafunzi hao ni Chandimo, Mongoroma, Munguri, Tungufu, Bolisa pamoja na Kingale.

Katika kuhakikisha vijana wanajifunza fani mbalimbali za ufundi Halmashauri ya Mji Kondoa imeendelea kudahili Wanafunzi wa masomo ya muda mfupi na muda  mrefu katika Chuo Cha Maendeleo ya Jamii Munguri FDC ambapo mpaka Sasa Kuna jumla ya wanafunzi 203 wanaoendelea kupata mafunzo ya ufundi stadi.

Hata hivyo kupitia Programu ya IPOSA inayotekelezwa na Halmashauri ya Mji Kondoa Vijana wameweza kujifunza fani mbalimbali ikiwemo Uashi, Ufundi Chuma, Umeme, Upishi, Ushonaji, Useremala pamoja na Ujasiriamali. Katika Programu ya IPOSA jumla ya Vijana 237 wamejiandikisha maeneo mbalimbali huku wanaume wakiwa 88 na wanawake wakiwa ni  149 wakitokea maeneo mbalimbali ikiwemo Chandimo, Kolowasi pamoja na Maji ya Shamba.

Halmashauri ya Mji Kondoa inawasihi wananchi mbalimbali kujitokeza kwa wingi Ili waweze kujiunga na kujiendeleza kupitia program mbalimbali zinazotolewa kupitia elimu ya watu wazima Ili kuondokana na ujinga, umasikini pamoja na maradhi kwa kusoma fani za ufundi, afya, kilimo pamoja na Ufugaji.

Kilele cha maadhimisho hayo ni tarehe 18.08.2025 katika Iwanja wa Puma uliopo ndani ya  Halmashauri ya Mji Kondoa huku mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule ndiye atakuwa Mgeni rasmi katika Kilele hicho.

Matangazo

  • Matokeo ya Kidato cha Sita Kondoa Girls 2025 July 07, 2025
  • Tangazo la kazi za muda June 28, 2025
  • Majina ya walioitwa kwenye usaili Kondoa Mji June 13, 2025
  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • RC Senyamule ahitimisha wiki ya Elimu ya Watu Wazima

    August 18, 2025
  • Mkurugenzi Majaliwa atembelea timu ya Kondoa Mji na kukabidhi vifaa vya michezo Tanga

    August 16, 2025
  • DC Nyangasa atatua kero za wananchi kata ya Serya

    August 15, 2025
  • Kondoa Mji wafungua juma la Elimu ya Watu Wazima

    August 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa