• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

"Wakandarasi wa Maji Bolisa na Mongoroma Zingatieni Muda"- Mhe. Mafita

Tarehe iliyowekwa: May 29th, 2019

Wakandarasi  waliosaini mikataba ya usambazaji wa miundombinu ya maji katika mitaa ya Bolisa na Mongoroma wametakiwa kutekeleza kazi walizopewa kwa ufanisi na kukamilisha kazi hizo kwa wakati.

Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Wa Kondoa Mhe. Hamza Mafita wakati wa kusaini mikataba ya usambazaji wa miundombinu ya maji katika mitaa ya Bolisa na Mongoroma zoezi lililofanyika katika Ofisi za Mwenyekiti huyo hivi karibuni.

“Mmepewa idhini ya kufanyakazi mkafanyekazi kweli wananchi wengi wana shida kubwa ya maji hivyo mnapoenda kuanza kazi mjue mna jukumu kubwa la kuhakikisha maji  yanawafikia wananchi kwa muda mliopewa.” Alisema Mhe. Hamza

Aidha  aliwataka wakandarasi hao kuwasilisha changamoto zote zinazowakabili mapema ili zifanyiwe kazi na viongozi ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa ya changamoto hizo kwa wananchi ili kuepusha mkanganyiko wakati wa utekelezaji wa miradi hiyo.

“Kabla ya kuanza kazi mtatakiwa kwenda kujitambulisha kwa wananchi kwa kupitia mikutano ya hadhara ya  mitaa ili wananchi wawatambue na kuwapa ushirikiano kwani mabomba yanaweza kupita katika makazi yao na mashamba yao.” Alisisitiza Mhe. Hamza

Awali serikali ilitoa fedha kwa ajili ya usambazaji wa miundombinu ya maji katika visima vitano ambapo miradi hiyo imekamilika na kutoa huduma ya maji kwa wananchi na miradi hiyo ni katika mitaa ya Kwapakacha, Wisi kwa Ntisi, Kilimani, Tumbelo na Kichangani.

Miradi ya usambazaji wa miundombinu ya maji katika visima vya mtaa wa Bolisa utagharimu kiasi cha Tshs. 643,139,737.60 chini ya Kampuni ya Mponela Construction Ltd na  Mongoroma  utagharimu kiasi cha Tshs. 728,890,212.60 chini ya kampuni ya Kellogg Company Ltd miradi inayotarajiwa kuanza mapema mwezi Juni.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa