• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Ustawi wa Jamii
    • Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Watakiwa kujikinga na Corona Daftari la Kudumu la Wapiga

Tarehe iliyowekwa: April 30th, 2020

Maafisa wandikishaji na BVR Operators daftari la wapiga kura awamu ya pili Halmashauri ya Mji Kondoa wametakiwa kuchukua tahadhali ya kupata maambukizi ya Virusi vya Corona wakati wa zoezi la uandikishaji litakalofanyika kwa siku tatu katika halmashauri hiyo.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa wakati wa kufungua mafunzo kwa maafisa waandikishaji na BVR Operators yaliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Uuguzi Kondoa Mjini.

“Najua mnaenda kukutana na idadi kubwa ya watu nawasihi sana mkachukue tahadhari zote muhimu kutokana na maelekezo yanayotolewa na wataalamu wa afya ikiwemo kunawa mikono mara kwa mara bila kuchoka, kuvaa barakoa muda wote pamoja na kutumia vitakasa mikono kila wanapomhudumia mwananchi,”alisema Mkurugenzi Dakawa.

Aidha aliongeza kwa kuwataka kusafisha vifaa vyao vya kufanyia kazi mara kwa mara na kuepuka kujishika au kushika simu mara kwa mara kwani kwa kufanya hivyo wanaweza kuhatarisha afya zao na kupata maambukizi ya virusi vya Corona jambo ambalo hawalitarajii kabisa.

Awali Mkurugenzi huyo ambaye pia ndiye Afisa Mwandikishaji jimbo la Kondoa Mjini aliwapongeza maafisa hao waliochaguliwa na kuwasihi kuwa makini katika kusikiliza mafunzo kwa umakini kwani kwa kufanya hivyo watafanya kazi kwa ufanisi mkubwa.

“Naamini mliopo humu awamu ya kwanza mlikuwepo na mlifanya kazi vizuri ndio maana mkachaguliwa tena hivyo mna uzoefu mkafanye kazi kwa kufuata kanuni, sheria na taratibu kwani kila kitu hapa kinafanyika kwa mujibu wa vitu hivyo tunawaamini,”alisisitiza Mkurugenzi Dakawa.

Mafunzo kwaajili ya uboreshaji wa daftari la wapiga kura ya siku moja yanatolewa kwa maafisa waandikishaji, BVR Operators, Wasimamizi ngazi ya kata ambapo katika Halmashauri ya Mji Kondoa zoezi la uandikishaji awamu ya pili litaanza tarehe 2 Mei hadi 4 katika ofisi zote za kata.


Matangazo

  • Matokeo ya darasa la nne Halmashauri ya Mji Kondoa 2020 January 15, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha nne Halmashauri ya Mji Kondoa 2020 January 15, 2021
  • Matokeo ya kidato cha pili Halmashauri ya Mji Kondoa 2020 January 15, 2021
  • Tangazo la Kazi Udereva Kondoa Mji January 02, 2019
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • "BARABARA YA BOLISA IPITIKE" - DC Makota

    January 14, 2021
  • Idara ya Afya watakiwa kufanyakazi kwa Uaminifu

    January 07, 2021
  • Mkurugenzi awataka Wakuu wa Shule kuwajibika

    January 06, 2021
  • Mhe. Jafo aipa Kongole Halmashauri ya Mji Kondoa

    December 30, 2020
  • Tazama Vyote

Video

Fursa za uwekezaji Kondoa Mji
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Chemchem Kondoa Mjini

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: info@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa