• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kondoa Mjini washukuru Mkurugenzi, Menejimenti kusikiliza na kutatua kero zao

Tarehe iliyowekwa: May 30th, 2024

Wakazi wa kata ya Kondoa Mjini wamempongeza Mkurugenzi na Menejimenti kufika katika kata yao kwaajili ya kusikiliza na kutatua kero zinazowakabili kwa kuwa itasaidia kuwapunguzia changamoto zilizokuwa zinawakabili kwa muda mrefu.

Kauli hiyo wameitoa wakati wa ziara ya kata kwa kata iliyofanyika katika Ofisi ya Kata ya Kondoa Mjini ambapo pia ilihudhuriwa na wataalam mbalimbali wa kata hiyo.

“Naomba nikupongeze Mkurugenzi kwa namna unavyofanya kazi nimekuwa nikikufuatilia kupitia mitandao ya kijamii kweli umekuja kufanyakazi tunaamini kero nyingi zitatatuliwa kupitia wewe,”amesema Ndg. Omary Texas mmoja wa wakazi waliofika katika kata ya Kondoa Mjini

Aidha wakiongea kwa nyakati tofauti wananchi wengi wa kata hiyo wameelezea kero kubwa kwenye masula ya ardhi ambapo Mkurugenzi ameahidi kuzifanyia kazi kero zote kwa kuwapatia taarifa ya utatuzi wa changamoto zao kwa maandishi ili kuepuka migogoro hiyo kujitokeza tena.

Akiongea kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Said Majaliwa amewataka watendaji wote wa Halmashauri kuhakikisha wanatenda haki katika kuwahudumia wananchi ikiwamo kuwajibu barua zao kwa maandishi.

Ameendelea kuwaeleza wananchi kuwa lengo la ziara hiyo ni kusikiliza na kutatua kero zao ambapo wataalam alioongozana nao watatoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali na maamuzi yatakayotolewa yatakuwa kwa mujibu wa sheria,kanuni na taratibu.

Hata hivyo amewashauri wananchi wenye kero za migogoro ya ardhi kuwa utatuzi wake hautapingana na maamuzi mbalimbali ambayo yalikwishatolewa na tume mbalimbali zilizoundwa kushughulikia migogoro hiyo awali.

Ziara hiyo katika kata ya Kondoa Mjini itaendelea tena siku ya Jumamosi ambapo Mkurugenzi na Menejimenti wataendelea kusikiliza na kutatua kero za wananchi baada ya baadhi ya wananchi kutohudumiwa leo kutokana na dharula iliyojitokeza na watu zaidi ya 15 wamesikilizwa na baadhi kero zo kutatuliwa zingine zikihitaji muda kidogo kutatuliwa.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa