• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

"Siasa isiturudishe nyuma kwenye elimu" - Mwenyekiti Kiberenge

Tarehe iliyowekwa: December 3rd, 2024

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kondoa Mhe. Mohamed Kiberenge amewataka wanasiasa na wananchi wa Kondoa kutokubali kurudishwa nyuma  kwa kuingiza mambo ya kisiasa kwenye elimu.

Ameyasema hayo wakati wa kikao cha wadau wa elimu  kilichofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Ualimu Bustani hivi karibuni.

"Tumekutana hapa tujadili namna ya kusonga mbele kwenye elimu kwa kuwa Kondoa yetu inahitaji nguvu kidogo kwenye masuala ya elimu lakini pia wataalam tunaomba mtubainishie changamoto ili tuone tunavukaje hapa kwa pamoja."Amesema Mhe. Kiberenge

Ameongeza kwa kusema kuwa Halmashauri ina walimu wazuri wanaoweza kuivusha  hivyo mijadala itakayotolewa katika kikao hicho iwe ya kujenga na si kubomoa.

Akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mkakati wa Elimu wa Mwaka 2024,  Afisa Elimu ya Awali na Msingi Mwl. Lucy Mbolu amesema Idara imejipanga kuongeza ufaulu kwa kuongeza ufuatiliaji wa taaluma shuleni, kudhibiti utoro na kuhakikisha wanafunzi wanapata chakula shuleni.

"Changamoto zinazotukabili kwa upande wa wazazi ni baadhi yao kutochangia chakula cha wanafunzi,  kutohudhuria vikao vya shuleni na baadhi ya wazazi  kutoruhusu watoto kuhudhuria vipindi rekebishi"amesema Mwl. Mbolu

Wakichangia mada kwa upande wao wajumbe wa kikao hicho wameshauri kata kutunga sheria ndogo ambazo zitawatia hatiani wazazi wanaokiuka sheria hizo na kuwa na tathmini za hali ya taaluma kila baada ya miezi mitatu badala ya kusubiria kipindi cha mwaka mzima.

Kikao cha wadau wa elimu kimefanyika ambapo taarifa za Utekelezaji wa Mkakati wa Elimu wa Mwaka 2024 kwa elimu ya Awali na Msingi pamoja na elimu ya Sekondari zimejadiliwa. Kikao hicho kilihudhuriwa na wadau mbalimbali wakiwemo Waheshimiwa Madiwani, Ofisi ya Mkuu wa Wilaya, Viongozi wa Dini, Wakuu wa Idara na Vitengo, Wathibiti Ubora wa Shule, TSC, CWT, Maafisa Elimu Kata,  Wenyeviti wa Board na Kamati za Shule, Walimu Wakuu na Wakuu wa Shule.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa