• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

"BARABARA YA BOLISA IPITIKE" - DC Makota

Tarehe iliyowekwa: January 14th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe. Sezaria Makota amewataka Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) Kondoa Mji kuhakikisha barabara ya kwenda Bolisa inapitika katika msimu huu wa mvua baada ya nguzo iliyokuwa imejengwa katika moja ya madaraja kusombwa na maji.

Agizo hilo amelitoa wakati wa ziara ya ukaguzi wa miundombinu ya madaraja aliyoifanya katika barabara ya Kondoa- Bolisa na Kondoa- Mongoroma hivi karibuni.

"Nakuagiza Meneja kuweka mkakati wa dharula kuhakikisha barabara hii inapitika maana tulishawaambia mapema wakati mnajenga hapa lakini lakini hamkutaka kusikia sasa wananchi wasikwame mtafute sehemu ya wao kupita,"amesema Mhe. Makota

Aidha aliwashauri kutengeneza miradi yenye manufaa kwa wananchi sababu fedha zinazotumika ni za kodi za wananchi hao na watumishikinyume na hivyo ni kitumia vibaya fedha za serikali na wanaoumia ni wananchi watakaokosa mahali pa kupita.

"Mkandarasi mle naye sahani moja hawezi kujenga kitu kama hiki huu jto unahama na kutanuka ilitakiwa ajenge sehemu sahihi huo ukuta sasa atajenga upya kwa gharama zake na nyie ndio wataalam tunaowategemea kusimamia mfanye kazi zenu kwa weredi,"amesisitiza Mhe. Makota

Aidha amewatahadharisha wananchi wanaojenga pembezoni mwa mto huo kuacha mara moja kwani ni hatari kwao kwa kuwa mto unapanuka hivyo kuna uwezekano mkubwa wa kubomolewa na na maji na kuwa serikali haitahusika kulipa fidia kwa wote ambao nyumba zao zitasombwa na maji.

Akiongea kwa upande wake Kaimu Meneja wa TARURA Kondoa Mji Mhandisi Bakari John amesema kuwa serikali imetoa shilingi milioni 169 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya barabara ya Bolisa na kumuahidi Mkuu wa wilaya kuyafanyia kazi maagizo yote yaliyotolewa.

Ziara ya Mkuu wa Wilaya imefanyika kwa lengo la kukagua miundombinu ya barabara na madaraja katika msimu huu wa mvua ambapo aliongozana na kamati ya ulinzi na usalama, Mkurugenzi wa halmashaurimya mji na watumishimwa TARURA Kondoa Mji.



Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa