• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

Tarehe iliyowekwa: April 30th, 2025

Baraza la Waheshimiwa Madiwani Halmashauri ya Mji Kondoa limejivunia mafanikio katika nyanja mbalimbali kwa kipindi cha miaka mitano madarakani.

Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kondoa Mhe. Mohamed Kiberenge wakati wa  kikao cha kujadili taarifa za robo ya tatu kwa mwaka wa Fedha 2024/25.

Amesema kuwa katika kipindi hicho Waheshimiwa Madiwani wamesimamia fedha zote za miradi zilizoletwa na Serikali kuu, wahisani na mapato ya ndani ambapo miradi yote imekamilika kwa wakati na viwango.

"Kiukweli ni katika kipindi hiki tumeona mapato ya ndani yakitolewa kwenda kutekeleza miradi na Waheshimiwa ni mashahidi kwa kuwa kata zote zimepata fedha za mgao ili kutekeleza miradi katika maeneo yetu na miradi mingine ipo katika hatua za ukamilishaji.

Kwa upande wake mwakilishi wa Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Ndg. Erick Ntikahela amewapongeza Waheshimiwa madiwani kwa kuwa baraza lenye utulivu ambapo mkoa unajivunia uwepo wa baraza hilo.

"Niwapongeze baraza limetulia na limeimarika sana tofauti na ilivyokuwa mwanzo nina imani mtarudi tena kama mlivyo na mkawa baraza bora kwa kuwa mna uzoefu kamili"amesema Erick

Akiongea Katibu Tawala Wilaya ya Kondoa Ndg. Christina Kalekezi amewapongeza Waheshimiwa kwa usimamizi wa bilioni 18 za miradi ya maendeleo  kwa kipindi chao chote.

" Waheshimiwa Madiwani mmesimamia fedha za ujenzi wa madarasa, mabweni, ukarabati wa hospitali ya wilaya, ujenzi wa ofisi za mitaa na utoaji wa asilimia 10 kwa vikundi kwa kweli mnastahili pongezi nyingi"amesema Katibu Tawala.

Naye Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Sekela Mwasubila amewasihi Waheshimiwa Madiwani kwenda kuhamasisha wananchi kujitokeza wakati wa uwekaji wazi wa Daftari la kudumu la wapiga kura na uboreshaji wa taarifa kwa awamu ya pili utakaoanza tarehe 16-22 Mei, 2025 ili wananchi wapate fursa ya kuchagua viongozi wakati wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 2025.

Baraza la Waheshimiwa Madiwani limefanyika kujadilibtaarifa za robo ya pili ambapo limehudhuriwa pia na Kamati ya Usalama, Katibu wa CCM, Wakuu wa Idara na vitengo na wananchi.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Wasira aelezea faida za Muungano kwa wananchi wa Kondoa

    April 26, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa