• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Ustawi wa Jamii
    • Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Halmashauri ya Mji Kondoa yatoa milioni 155 kwaajili ya mikopo

Tarehe iliyowekwa: April 8th, 2023

Halmashauri ya Mji Kondoa imetoa shilingi milioni 155 ikiwa ni mikopo isiyo na riba kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu hadi kufikia mwezi Machi 2023 kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

Fedha hizo zimetolewa kwa vikundi ikiwa ni fedha taslimu, bajaji na pikipiki ambapo vikundi hivyo vinajishughulisha na biashara mbalimbali ndani ya Halmashauri ya Mji Kondoa.

Hafla ya makabidhiano ya mikopo hiyo imefanyika katika viwanja vya Halmashauri ya Mji Kondoa ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kondoa Mhe. Mohamed Kiberenge.

Akiongea katika halfa hiyo Mhe. Kiberenge amewataka wanufaika hao kwenda kutumia fedha hizo kwa malengo aliyojiwekea na waliyowasilisha katika maandiko yao wakati wanaomba .

Aidha aliwataka wanufaika hao kufanya marejesho kama walivyokubaliana ili waombaji wengine waombe na kufanya nao shughuli zitakazowaletea kipato na kuwawasisitiza kwenda kuwa mabalozi kwa wengine ili watumie fursa hiyo ya kupata mikopo isiyo na riba.

Kwa upande wa wanufaika wa mikopo hiyo wameishukuru Halmashauri ya Mji Kondoa kuwapatia mikopo hiyo ambayo itawasaidia kujiletea maendeleo na kuahidi kurejesha kwa wakati.

Halmashauri ya Mji Kondoa imetoa zaidi ya shilingi milioni 150 kwa kipindi cha kufikia mwezi Machi ambapo katika fedha hizo wamenunua pikipiki 4 na bajaji 1 na kuwakabidhi wanufaika ambao waliomba mkopo kwa kipindi hicho ambapo zoezi zima limesimamiwa na Divisheni ya Maendeleo ya Jamii.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili nafasi ya Katibu Muhtasi na Madereva Halmashauri ya Mji Kondoa February 24, 2023
  • Matokeo ya Kidato cha nne Shule za Halmashauri ya Mji Kondoa January 29, 2023
  • Waliochaguliwa na shule walizopangiwa kidato cha kwanza 2023 Kondoa Mji December 14, 2022
  • Tangazo la kazi December 07, 2022
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Wadau wa huduma ndogo za kifedha Kondoa Mji wapatiwa mafunzo

    May 26, 2023
  • Wanafunzi Chuo Kikuu cha Ardhi watembelea la akiba Mkungunero

    May 18, 2023
  • LIHOGOSA MICRO-CREDIT CO. LTD Kondoa wapewa siku tatu kuboresha huduma zao

    May 16, 2023
  • RAS Gugu ahimiza upendo na ushirikiano sehemu ya kazi

    May 03, 2023
  • Tazama Vyote

Video

Fursa za uwekezaji Kondoa Mji
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa