• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Idara ya Afya watakiwa kufanyakazi kwa Uaminifu

Tarehe iliyowekwa: January 7th, 2021

Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Kondoa Msoleni Dakawa amewataka watumishi wa afya katika hospitali ya mji Kondoa kufanya kazi kwa uadilifu na nidhamu wanapowahudumia wananchi.

Kauli hiyo ameitoa wakati wa kikao na watumishi wa Idara ya Afya katika kilichofanyika katika ukumbi wa hospitali ya Mji Kondoa hivi karibuni.

“Watumishi wote ni wangu njooni mnione ofisini mnapokutana na changamoto tuache kufanya kazi kwa kunyanyasana na kukatishana tamaa ishini kwa kuheshimiana kila mmoja ana umuhimu wake kwa wakati wake na nafasi aliyonayo hakuna mkubwa”,amesema Mkurugenzi Dakawa.

Halikadhalika Mkurugenzi Dakawa ameendelea kusema kuwa Idara ya Afya ni idara kama zilivyo idara nyingine na kazi zote wanazozifahya ni za Halmashauri na serikali yetu hivyo ni lazima kila mmoja afanye kazi kwa juhudi na nidhamu ili kuwahudumia wananchi.

“Mnawahudumia watu wa kila aina na wengine hamuwafahamu acheni kuchukua rushwa toka kwa wagonjwa ridhikeni  na mnnachokipata na kukitumia vizuri, ukiwa zamu wajibika piteni wodini na kuona changamoto ninawahitaji sana kazini ndio maana ninasema haya”,alisisitiza Mkurugenzi Dakawa.

Hata hivyo Mkurugenzi Dakawa amesisitiza kuweka utaratibu mzuri wa kudhibiti magari ili yaweze kudumu kwa muda mrefu na kuwataka watumishi kuongeza ujuzi na maarifa kwa kusoma vitabu na vyuoni ili kujiendeleza kitaaluma na kiujuzi kwani dunia inabadilika kila siku.

Kikao na watumishi wa Idara ya Afya kimefanyika ili kuweza kujadili na kutatua changamoto zinazojitokeza katika Idara ya Afya ambapo kilihudhuriwa na Mkurugenzi Halmashauri Mji Kondoa ambaye aliwaahidi kuendelea kuboresha mazingira ya kufanyia kazi, pia kilihudhuriwa na Mganga Mkuu, Maafisa Utumishi, pamoja na watumishi wa Idara ya Afya.

 

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa