• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kondoa Mji na Zimamoto watoa elimu ya matumizi ya nishati safi Hachwi

Tarehe iliyowekwa: March 29th, 2025

Halmashauri ya Mji Kondoa  kupitia kitengo Cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira kwa kushirikiana na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kondoa  wametoa elimu ya matumizi ya nishati safi kwa wananchi wa Mtaa wa Hachwi  Ili kuondokana na changamoto kadhaa ambazo hujitokeza pindi wananchi  wanapotumia nishati isiyo safi ikiwemo nishati ya mkaa pamoja na kuni.

Afisa Maliasili Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Ramadhan Hamis amewaasa wananchi wa Hachwi kutumia Nishati Safi Ili kutunza mazingira pamoja na kutunza afya zao kwani moshi wa kuni unaleta athari katika mwili wa binadamu.

Ramadhan ameongeza kuwa licha ya matumizi ya kuni kuwa na athari kiafya pia  muda mwingi unatumika kutafuta kuni hizo wakati muda huo ungetumika kufanya shughuli zingine za kiuchumi.

Kwa upande wake Afisa Zimamoto na Uokoaji Maria Kinyaiya amesema kuwa wananchi wanatakiwa kuweka nishati ya gesi mbali na viashiria vya moto kama vile jiko la mkaa na vifaa vingine vya kulipuka.

Afisa huyo  amewaasa akina mama kuandaa vifaa hususani kiberiti kabla ya kuwasha mtungi wa gesi na sio kufungulia gesi Kisha kuwasha kiberiti hivyo amewasihi akina mama kuwasha kwanza kiberiti Kisha kuwasha gesi Ili kuepuka mlipuko ambao unaweza kutokea endapo gesi hiyo  ilikuwa inavuja.

Nae Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Thobias Mmari amewaasa wananchi wa Hachwi kumiliki vifaa mbalimbali kwa ajili ya kuzimia moto Ili kuweka salama mali mbalimbali ambazo wananchi wanazimiliki.

Matumizi ya Nishati salama kwa watanzania wote ni ajenda ya Rais wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Ili kuhakikisha watanzania wote wanatumia nishati hiyo kwa ajiri ya kulinda afya zao lakini pia kutunza mazingira.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • RC, RAS, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi Dodoma ziarani Mufindi kujifunza kilimo cha Tufaa (Apple)

    May 11, 2025
  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa