• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Naibu Waziri Ujenzi afika Kondoa kujionea Mto Bubu na Shule ya Msingi Unkuku

Tarehe iliyowekwa: November 16th, 2023

Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi GodfreyKasekenya amefika katika Shue ya Msingi Unkuku na eneo la mto Bubu kwa ajili yakujionea hali halisi ya maeneo hayo ili kuyafanyia kazi baada ya mbunge wajimbo la Kondoa Mjini Mhe.Ally Makoa kuyasemea maeneo hayo bungeni.

Akiongea katika eneo la mto Bubu Naibu Waziriamesema daraja la Mto Bubu ni muhimu sana katika kuunganisha maeneo mawiliupande wa Kondoa na Serya na gharama za ujenzi wa daraja katika eneo hili nikubwa na kuongeza kuwa wataalam wa usanifu wapo hatua za mwisho za usanifu nawatakamilisha mwezi ujao.

“Daraja litakuwa na urefu wa mita 500 darajakama daraja na barabara km 1.5 na shida ya mito kama hii huwa inajaza mchangaunaweza kujenga daraja likawa linajaza mchanga baada ya muda unakuta majiyanapita juu ya daraja kwasababu ya kujaza mchanga hivyo daraja linatakiwa liwejuu sana,”amesema Mhandisi Kasekenya

Aidha amesema daraja linaonekana ni muhimu sanakwa wanakondoa na watu wa Hanang na lipo katika vitabu vya Wizara hivyowanaendelea kutenga fedha kwa ajili ya ujenzi wa daraja hilo ambapo kwa mwakahuu wa fedha kuna fedha zimetengwa pia kwa ajili ya ujenzi na kwa mwaka wafedha ujao ujenzi unaweza kuanza rasmi.

Ameongeza kuwa awali walifikiria kulijenga darajaeneo lingine lakini baada ya kuangalia baadhi ya changamoto daraja litajengwaeneo lilelile lililokuwa limejengwa daraja la awali na usanifu uonaokamilishwani wa eneo hilo.

Hata hivyo amesema Shule ya Msingi Unkukuitajengwa na serikali na si kuleta fedha na eneo lipo tayari kwa kuwa mwongozounasema wanapoingilia taasisi za umma wakati wa ujenzi wa barabara badala ya kutoafedha wanapaswa kujenga kwani wanaweza kuleta fedha zisikamilishe shulekutokana na sababu tofauti badala yake wataleta mchoro na hazina watalipa.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Dkt.Khamis Mkanachi amemshukuru Naibu Waziri kwa kufika katika maeneo hayo nakuongeza kuwa kufika kwake kumeonyesha umuhimu wa mambo hayo ambapo itaongeza imanikubwa kwa wakazi wa Kondoa.

Katika ziara hiyo Mbunge wa Kondoa Mjini Mhe.Ally Makoa, Waheshimiwa Madiwani wa viti Maalum, Mkuu wa Wilaya walishirikipamoja na wataalam kutoka Halmashauri ya Mji Kondoa.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa