• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

NMB Kondoa wazindua wiki ya Huduma kwa Mteja na Watumishi Kondoa Mji

Tarehe iliyowekwa: October 5th, 2020

Benki ya NMB Kondoa wameanza maadhimisho  ya wiki ya huduma kwa mteja kwa kukutana na kuongea na kula keki kwa pamoja na watumishi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Makao Makuu.

Maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa Kituo cha Uwekezaji Kondoa ambapo yalihudhuriwa na watumishi wa Makao Makuu na watumishi wa Benki ya NMB Kondoa wakiambatana na Meneja wa benki hiyo.

Akiongea awali Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Msoleni Dakawa amewapongeza watumishi wa benki hiyo kutokana na huduma wanayotoa kwa watumishi kwa kipindi chote wanachofanya  kazi na Halmashauri ya Mji na kuahidi kuendelea kuwaamini ili kufikia malengo.

“Tunashukuru kwa kutukumbuka leo kweli tumekuwa pamoja tunaalikana katika matukio mbalimbali na toka muanze kutuhudumia hamjawahi kutuangusha tunawashukuru sana”, amesema Mkurugenzi Dakawa.

Kwa upande wake Meneja wa NMB Kondoa Francis Malire amesema kuwa watoa huduma wameamua kutenga wiki ya huduma kwa wateja ili kujirekebisha pale wanapofanya vibaya.

“Nguo hata  kama ikiwa safi bado inaweza kuwa na uchafu lakini hata tukijiuliza taulo linachafukaje ikiwa tunalitumia tukiwa wasafi? Basi hata sisi inawezekana tunafanya vizuri lakini  kuna sehemu tunajisahau na ndio maana tunaweka wiki hili la hudumakwa mteja ili tuwe karibu na wateja”,amesema Malire.

Hata hivyo kwa upande wao wameanza kuadhimisha wiki hiyo kwa kuzindua huduma kwa wateja mpya tatu ambapo mteja atawasiliana moja kwa moja na benki kidigitali.

“Tunazindua huduma za kidijitali zaidi ambapo kuanzia sasa mteja atauliza swali au huduma yoyote kwa WhatsApp namba 0747333444, pia tumezindua huduma ya kupata mrejesho kwa kutumia simu janja ambapo mteja ataipakua kwenye simu yake na kuitumia katika ATM mashine na kupata majibu hapohapo na huduma ya mwisho ni mteja mbaye atanunua luku bila kupata token atapiga simu huduma kwa mteja 0800002002 na kisha kutajiwa token za kuingiza,”amesema Malire.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa