• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

RC Senyamule awataka Watendaji na Wakuu wa Shule kuwajibika ujenzi wa madarasa

Tarehe iliyowekwa: November 18th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Dododma Mhe. Rosemary Senyamule wamewataka watendaji na wakuu wa shule wilaya ya Kondoa kuwajibika katika nafasi zao ili kukamilisha miradi ya madarasa inayoendelea kwa kuwa ndio agenda ya kitaifa kwa sasa.

Ameyasema hayo wakati akikagua miradi ya ujenzi wa madarasa inayoendelea katika Shule za Sekondari za Kwapakacha na Bicha ikiwa ni baada ya kufungua nyumba ya Mkuu wa Wilaya Kondoa.

Mimi kazi yangu ni kutembelea miradi na kukagua lakinimkwa kweli ji matarajio yangu yule aliyepewa dhamana kwenye eneo husika kwa maana nyie mmepewa kata na Mtendaji wako mmefanya vizuri ni kuwapongeza na kutoa taarifa kwenye uongozi, kuna mtu alikuwa anashangaa kuona kiongozi anakuja Waziri kugomba kwenye mradi na viongozi wote wapo lakini ni kwasababu hamtimizi majukumu yenu kwa wakati na jinsi inavyotakiwa,"amesema Mhe. Senyamule

Aidha ameongeza kwa kusema kuwa wao kama viongozi wangekuwa wanapata taarifa akuwa madarasa yanaendelea vizuri walikiwa hawana haja ya kufika na wanakuja mahali ambapo hapafanyi vizuri  hivyo wanatakiwa kukaa na kujipanga ili kuwahakikishia viongozi kuwa Serikali haikukosea kuweka mfumo wa uongozi kuanzia  ngazi ya chini.

"Mtaalam unapaswa kutuambia vitu kitaalam kwamba ndani ya siku moja tutaezeka bati au madirisha na tunapohesabu zile siku tuone zinaendana na si kusema tu ndani ya wiki moja tutakuwa tumemaliza mkuu na hayo ndio yanayotufanya tuje huku sasa hivyo mjipange vizuri na Mtendaji wako na Mheshimiwa Diwani mwambie Mtendaji huyo dhamana hii inamtosha ndio maana amewekwa hapa na kama inamtosha amalize hii kata,"amesisitiza Mhe. Senyamule

Ameendelea kueleza kuwa vifaa vyote vinapaswa kuwepo eneo la mradi ili kuepusha mafundi kukaa bila kazi mara vifaa vinapokosekana kwa kuwa Mhe. Rais ametoa fedha za mradi wote hivyo vitumike ipasavyo ili kazi ikamilike kwa wakati uliopangwa laki kwa umakini, ufanisi na viwango vunavyotakiwa.

Akisoma taarifa awali kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Irene Mosha amesema walipokea shilingi milioni 180 kwa ajilinya ujenzi wa madarasa 9 katika shule 5 za Sekondari mwezi Oktoba na ujenzi unaendelea ambapo hadi Novemba 16 madarsa yote yalikuwa katika hatua ya upauaji na yote yamepigwa ripu na kuahidi kukabidhi madarasa hayo ifikapo desemba mosi.

Ziara ya Mkuu wa Mkoa imefanyika wilayani Kondoa ambapo amefungua nyumba ya Mkuu wa Wilaya ya Kondoa na kujionea ujenzi wa nyumba ya KatibuTawala na imehudhuriwa na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, baadhi ya Waheshimiwa madiwani wa Kondoa Mji na Wakuu wa Idara wa Halmashauri ya Mji na Wilaya ya Kondoa.



Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa