• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Watendaji wa Mitaa Walimu wakuu watakiwa kuwajibika

Tarehe iliyowekwa: October 6th, 2020

Wenyeviti na Watendaji wa mitaa, Walimu wakuu, Wajumbe wa Kamati za shule na wajumbe wa Kamati za ujenzi za shule wametakiwa kuwajibika na kuwa waadilifu ili kutimiza malengo yaliyowekwa na Serikali katika maeneo yao.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Msoleni Dakawa alipofanya vikao na viongozi hao katika Shule za Msingi Maji ya Shamba na Bolisa.

“Nasikitishwa sana na hali ya ujenzi katika shule zenu mpo nyuma sana na muda unakimbia fedha zipo kwenye akaunti zenu kwa zaidi ya mwezi sasa ujenzi hauendelei mnakwama wapi katika kusimamia ujenzi? Aliuliza Mkurugenzi Dakawa.

Ameongeza  kusema kuwa kuna baadhi ya walimu wakuu wamekosa uzalendo kwa kuongea na mafundi (Local Fundi) ili wapatiwe fedha ndiyo wawapatie kazi katika ujenzi unaoendelea baada ya kupata fedha za EP4R  hali inayosababisha miradi kuchelewa kukamilika na kuwanyima haki ya msingi wanafunzi.

“Uongozi wa Kata na mitaa ndiyo wasimamizi wa miradi ya maemdeleo katika maeneo yenu  lakini mnakaa pembeni siyo sawa na shule ni mali ya Serikali ya Mtaa, tuwahamasishe wananchi wajitolee nguvu kazi ili fedha itakayobaki tuboreshe miundombinu mingine ya shule ikiwemo kununua madawati, viti na meza za walimu, vyoo vya walimu pamoja na nyumba za walimu ”,amesisitiza Mkurugenzi  Dakawa.

Hata hivyo amewataka viongozi hao kuwa na uchungu na mali za shule kwani kinyume na hapo ni sawa na kutowatendea haki wananchi wanaowaongoza na kuwaagiza kukamilisha miradi hiyo ndani ya mwezi huu.

Halmashauri ya Mji Kondoa imepokea zaidi ya shilingi milioni 291 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa, vyoo na umaliziaji wa nyumba za walimu katika shule za Msingi Mongoroma, Kingale, Mpalangwi, Iboni, Maji ya Shamba, Miningani na Shule ya Sekondari Ula.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa